Wanafunzi
wakiendelea na masomo yao ya vitendo katika moja ya karakana zetu hapa chuoni.
FANI ZILIZOPO
· Upishi (Food
Preparation).
· Ushonaji nguo
(Tailoring).
· Uhazili na
kompyuta(Secretarial studies & computer app ).
· Ukerezaji
Vyuma (Fitter Mechanics).
· Uchomeleaji
Vyuma (Metal Welding &Fabrication).
UTARATIBU WA KUJIUNGA
Chuo
kinapokea maombi kuanzia mwezi August hadi September kila mwaka. Unaweza kufika
Chuoni au kutuma barua ya maombi na utapata majibu. Wanawake wanapewa
kipaumbele zaidi katika fani zote.
Fomu
za kujiunga na Chuo zinapatikana Chuoni VETA MBEYA kwa gharama ya Sh. 5,000/=
kwa wale watakaofika ofisini kuchukua fomu hizo.
ADA
Wanafunzi
wa bweni ni Tshs. 120,000/= kwa mwaka
Wanafunzi
wa kutwa ni Tshs. 60,000/= kwa mwaka
Kipaumbele kwa nafasi za bweni ni kwa wasichana na
kwa fani zenye uwezekano mkubwa na urahisi wa kujiajiri, kama vile Uashi,
Useremala, Upishi, Ushonaji, Ufundi Bomba na Uchomeleaji.
Na wanafunzi watakaomba wakiwa wanatoka majumbani
mwao watapewa kipaumbele zaidi kwa sababu nafaisi za bweni ni chache.
Pamoja na ada hiyo ipo michango mingine ambayo
hutoleawa pamoja na ada ambayo ni kati ya Tshs. 58,500/= na Tshs. 78,500/=
kutegemeana na mwanafunzi wa kutwa au wa bweni ikiwa ni gharama za :
· Sare za VETA.
· Matibabu. Kwa wanachuo wa bweni
· Fedha za tahadhari.
· Kitambulisho
· Michezo
· Fulana za VETA
· Nembo ya VETA
· Na gharama nyinginezo.
mnafanya usahili lin wa wanafunz wa mwakan na vp kuhsu ada
ReplyDeleteAda ya compyuter sh. Ngapi?
ReplyDeleteVipi kuusu wale wanao taka kujifunza machenics kwa upande wa magari
ReplyDeleteKwani hii ni official blog ya Veta Mbeya?
DeleteSawa
ReplyDeletenakama nataka kuhamia hapo chuoni natakiwa fanayaje
ReplyDeleteGharama ya mafunzo ya udereva ni sh ngap?
ReplyDeleteGharama ya mafunzo ya udereva ni sh ngap?
ReplyDeleteKwahiyo kwa sasa siwezi kuchukua fomu mpaka August?
ReplyDeleteMagari
ReplyDeleteAda yenu ipo poa sana
ReplyDeleteShort course ya driving ni kwa muda gan na ghalama yake ni shilling ngap
ReplyDeleteKwa wanaohitaji mafunzo ya ufundi simu blogs website na graphic design wanipigie 0744903557
ReplyDeleteMATOKEO SELECTION INTAKE 2020
ReplyDeleteVigezo mbona amja weka
ReplyDeleteNataka ufundi wa kuopaleti leth machine na we za kujiunga na fanigani?
ReplyDeleteFilter mechanics
Deletesamahan nataka kuuliza hivi hapo chuoni kuna ushonaji level 3?
ReplyDeleteHabari,Level three plumbing and pipe fittings naeza nikapata?
ReplyDeleteMe nataka kusomea udereva wa magari kwa classes zote je inawezekana
ReplyDeleteOyoo mamboo vpii
DeleteNa ada ni kias gani kwa mtu anaetaka kusomea udereva wa magari kwa classes zote
ReplyDeletegarama za mafunzo ya udereva magari makubwa ni kiasi gani??
ReplyDeleteWanafunzi wa level three wa umeme usailii wao unaanza lini?
ReplyDeleteKuna kozi ya electrical engineering level 1
ReplyDeleteSamahani form za kujiunga mbona hazipo mtandaon au mpaka nije chuoni hapohapo
ReplyDeleteZa mwaka 2020 2021
DeleteEmail yangu ni. ambokileelam@gmail.com
ReplyDeleteMm na taka nisome ICT vipi naweza kikapata nafasi apo chuoni
ReplyDeleteHizi nafasi zilizotoka serikalini utaratibu wake upo vipi katika kujiunga kwenye hicho chuo chenu
ReplyDeleteVeap kwa upande wa level three
ReplyDeleteMbona namba zenu hazipatikani?
ReplyDeleteNi vigezo vipi vya kujiunga na kozi kompyuta and secretar
ReplyDeleteKozi ya plumbing & pipe fittings ipo apo mbeya veta??
ReplyDeleteNaitajii kujiunga veta mwez huu naweza kupata form ya kujiunga coz ya umeme
ReplyDeleteNingependa kujua kama kuna mafunzo ya urembo yaani saloon na urembo mwingine kama vile upambaji
ReplyDeleteHabari naomba kuuliza kama majina ya waliochaguliwa kujiunga na masomo kwa mwaka 2022/2023 yameshatoka
ReplyDelete