ABOUT US


VETA Mbeya ni Chuo cha mkoa kinachomilikiwa na Mamlaka ya Elimu na Mafunzo ya ufundi stadi (VETA) na kipo katika kanda ya Kusini Magharibi inayojumuisha mikoa ya Mbeya ,Rukwa. Na Katavi
Chuo hiki kipo kata ya MANGA VETA umbali wa kilomita moja toka barabara kuu ya Tanzania, Zambia. Njia panda ya kuingia chuoni iko karibu kiwanja cha shule ya msingi Kagera.
Chuo cha VETA Mbeya kinatoa mafunzo ya muda mrefu na mfupi katika fani mbali mbali kulingana na mahitaji ya soko na matakwa ya mteja.










2 comments:

  1. Je,wanafunzi waliomaliza elimu ya msingi wanaweza kujiunga na chuo?

    ReplyDelete
  2. Je kuna matawi mangapi ya Veta kwa mkoa wa Mbeya?

    ReplyDelete