Tuesday, August 27, 2013

CHUO CHA MKOA CHA MAFUNZO YA UFUNDI STADI NA HUDUMA—MBEYA


Wanafunzi wakiendelea na masomo yao ya vitendo katika moja ya karakana zetu hapa chuoni.


FANI ZILIZOPO
· Upishi (Food Preparation).
· Ushonaji nguo (Tailoring).



· Uhazili na kompyuta(Secretarial studies & computer app ).
· Ukerezaji Vyuma (Fitter Mechanics).
· Uchomeleaji Vyuma (Metal Welding &Fabrication).


UTARATIBU WA KUJIUNGA
Chuo kinapokea maombi kuanzia mwezi August hadi September kila mwaka. Unaweza kufika Chuoni au kutuma barua ya maombi na utapata majibu. Wanawake wanapewa kipaumbele zaidi katika fani zote.
Fomu za kujiunga na Chuo zinapatikana Chuoni VETA MBEYA kwa gharama ya Sh. 5,000/= kwa wale watakaofika ofisini kuchukua fomu hizo.
ADA
Wanafunzi wa bweni ni Tshs. 120,000/= kwa mwaka

Wanafunzi wa kutwa ni Tshs. 60,000/= kwa mwaka

Kipaumbele kwa nafasi za bweni ni kwa wasichana na kwa fani zenye uwezekano mkubwa na urahisi wa kujiajiri, kama vile Uashi, Useremala, Upishi, Ushonaji, Ufundi Bomba na Uchomeleaji.

Na wanafunzi watakaomba wakiwa wanatoka majumbani mwao watapewa kipaumbele zaidi kwa sababu nafaisi  za bweni ni chache.
Pamoja na ada hiyo ipo michango mingine ambayo hutoleawa pamoja na ada ambayo ni kati ya Tshs. 58,500/= na Tshs. 78,500/= kutegemeana na mwanafunzi wa kutwa au wa bweni ikiwa ni gharama za :

· Sare za VETA.
· Matibabu. Kwa wanachuo wa bweni
· Fedha za tahadhari.
· Kitambulisho
· Michezo
· Fulana za VETA
· Nembo ya VETA
· Na gharama nyinginezo.



37 comments:

  1. mnafanya usahili lin wa wanafunz wa mwakan na vp kuhsu ada

    ReplyDelete
  2. Vipi kuusu wale wanao taka kujifunza machenics kwa upande wa magari

    ReplyDelete
  3. nakama nataka kuhamia hapo chuoni natakiwa fanayaje

    ReplyDelete
  4. Gharama ya mafunzo ya udereva ni sh ngap?

    ReplyDelete
  5. Gharama ya mafunzo ya udereva ni sh ngap?

    ReplyDelete
  6. Kwahiyo kwa sasa siwezi kuchukua fomu mpaka August?

    ReplyDelete
  7. Short course ya driving ni kwa muda gan na ghalama yake ni shilling ngap

    ReplyDelete
  8. Kwa wanaohitaji mafunzo ya ufundi simu blogs website na graphic design wanipigie 0744903557

    ReplyDelete
  9. Nataka ufundi wa kuopaleti leth machine na we za kujiunga na fanigani?

    ReplyDelete
  10. samahan nataka kuuliza hivi hapo chuoni kuna ushonaji level 3?

    ReplyDelete
  11. Habari,Level three plumbing and pipe fittings naeza nikapata?

    ReplyDelete
  12. Me nataka kusomea udereva wa magari kwa classes zote je inawezekana

    ReplyDelete
  13. Na ada ni kias gani kwa mtu anaetaka kusomea udereva wa magari kwa classes zote

    ReplyDelete
  14. garama za mafunzo ya udereva magari makubwa ni kiasi gani??

    ReplyDelete
  15. Wanafunzi wa level three wa umeme usailii wao unaanza lini?

    ReplyDelete
  16. Kuna kozi ya electrical engineering level 1

    ReplyDelete
  17. Samahani form za kujiunga mbona hazipo mtandaon au mpaka nije chuoni hapohapo

    ReplyDelete
  18. Email yangu ni. ambokileelam@gmail.com

    ReplyDelete
  19. Mm na taka nisome ICT vipi naweza kikapata nafasi apo chuoni

    ReplyDelete
  20. Hizi nafasi zilizotoka serikalini utaratibu wake upo vipi katika kujiunga kwenye hicho chuo chenu

    ReplyDelete
  21. Veap kwa upande wa level three

    ReplyDelete
  22. Mbona namba zenu hazipatikani?

    ReplyDelete
  23. Ni vigezo vipi vya kujiunga na kozi kompyuta and secretar

    ReplyDelete
  24. Kozi ya plumbing & pipe fittings ipo apo mbeya veta??

    ReplyDelete
  25. Naitajii kujiunga veta mwez huu naweza kupata form ya kujiunga coz ya umeme

    ReplyDelete
  26. Ningependa kujua kama kuna mafunzo ya urembo yaani saloon na urembo mwingine kama vile upambaji

    ReplyDelete
  27. Habari naomba kuuliza kama majina ya waliochaguliwa kujiunga na masomo kwa mwaka 2022/2023 yameshatoka

    ReplyDelete